Mazishi ya watu tisa waliofariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Nyeri – Nyahururu

357 views · Published 16 January 2018 · 2:00 · Indexed 29 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

hali ya huzuni huku mamia ya waombolezaji wakijitokeza katika shule ya upili ya ngai Ndeithia kaunti ya Nyandarua wakati wa mazishi ya watu tisa waliofariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Nyeri – Nyahururu. Tisa hao walikuwa wakirejea nyumbani baada ya kuhudhuria mazishi eneo la Mukurweini kaunti ya Nyeri. Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali ambao waliwataka wadau katika sekta ya usafirishaji kufanya hima huku wakiwataka madereva kuwa waangalifu ili kuepuka ajali za barabarani

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel