Waliokamatwa kwa kukiuka sheria za barabarani wafikishwa kortini

565 views · Published 13 November 2018 · 0:45 · Indexed 26 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Wakenya zaidi ya 80 waliokamatwa hapo jana kwa kukiuka sheria za barabarani walifikishwa kotini hii leo mjini Thika.
Shughuli za usafiri zilitatizwa hapo jana baadaya ya magari ambayo hayajatii sheria za michuki kulazimika kuondoka barabarani.

More from this channel