Sherehe za mashujaa: Maandalizi yakaribia kukamilika Kakamega
2,056 views · Published 14 October 2018 · 1:39 · Indexed 26 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Matayarisho ya siku ya mashujaa huko Kakamega yanaelekea kukamilika huku zikiwa zimesalia siku tano tu kwa sherehe hizo. ikulu ya Rais imeridhishwa na mipango yote na inaamini kwamba kuadhimishwa kwa siku hiyo nje ya Nairobi kutatumika kama njia mwafaka ya kuendeleza utangamano miongoni mwa wakenya.
More from this channel
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
0:41
Eric Ouma joins Harambee Stars camp ahead of 2017 AFCON qualifier match
-
3:35
Scare mongering rears its ugly head in Uasin Gishu
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
42:11
Land banking and agribusiness investment in Kenya