Rais Uhuru Kenyatta amehotubia Wakenya katika sherehe za Mashujaa

394 views · Published 20 October 2018 · 4:00 · Indexed 23 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Rais Uhuru Kenyatta ametumia hotuba yake katika sherehe za Mashujaa kwa kuwaonya maafisa wa serikali wanaoshiriki ufisadi kuwa watachukuliwa hatua kali. Uhuru amesema kuwa wakulima wameathirika pakubwa na kile alichodai kuwa ulafi wa maafisa serikalini na makundi fulani ya watu aliodai kuwa wanaendeleza ufisadi. Aidha amezungumzia wadhifa mpya aliopata kiongozi wa ODM katika tume ya umoja wa afrika na kutaka wakenya waendeleze amani na mshikamano. 




SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel