PEPO LA MIGOMO.
18 views · Published 6 June 2017 · 4:12 · Indexed 20 September 2026
Channel: MBCI TV OFFICIAL · 2017 · People & Blogs
Wauguzi kutoka kaunti ya Kiambu waungana na wenzao katika mgomo wakilalamikia kutolipwa kwa muda sasa na kusema hawatarejea kazini hadi malalamishi yao yashughulikiwe.