Matukio ya Katiba: Maadhimisho ya katiba miaka 8 baadaye

559 views · Published 29 August 2018 · 4:29 · Indexed 29 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wiki hii Kenya imeadhimisha mwaka wa nane tangu kuidhinishwa kwa katiba mpya. 

Hata hivyo maadhimisho haya yamefanyika wakati Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu anakabiliwa na kesi ya ufisadi kortini. 

Je kesi hii inaashiria nini kwenye hatua za utenda kazi wa mahakama na itakuwa na athari zipi kwenye mahakama ya juu zaidi anakohudumu Mwilu? 

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel