KTN Leo - 15th January 2017 - Klabu ya Bandari yaunda kikosi cha 2018

134 views · Published 15 January 2018 · 1:16 · Indexed 3 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Klabu ya Bandari imekamilisha shughuli ya usajili wa wachezaji wapya inapojiandaa kwa msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini utakayong'oa nanga tarehe mbili mwezi februari. Mkurugenzi wa kiufundi katika timu hiyo twahir muhiddin amethibitisha kuwa mlinda lango wa rwanda abubakar bashunga ndiye mchezaji wa mwisho kusajiliwa. Kashunga ambaye aliwahi ichezea mabingwa wa ligi kuu nchini Rwanda Rayon sports atajiunga na mshambuliaji wa zamani wa gor mahia Wycliffe Ochomo na David King'atua ambaye amerejea kutoka uswedi.


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel