ALIKIBA Amlilia LULU, Ashindwa kuzuia HISIA ZAKE

2,725 views · Published 16 January 2018 · 1:25 · Indexed 4 October 2026

Channel: Rick Media · 2018 · Entertainment

Watch on YouTube

Ni takribani miezi miwili na kenda toka msanii wa sanaa ya maigizo Elizabeth Michael maarufu kama LULU ahukumiwe kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kumuuwa bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu Steven Kanumba. Baada ya msanii huyo kuhukumiwa mastaa mbalimbali Tanzania waliweza kuonesha hisia zao kwenye mitandao ya kijamii haswa Instagram na facebook kuhusiana na kusikitishwa na hukumu hiyo na kumtakia poLe muigizaji huyo......
...........................................................................................
RICK MEDIA tupo pamoja nawe kukupatia habari za Burudani na Michezo ambazo zinajitokeza kila siku pande zote za dunia. Tafadhali SUBSCRIBE ili uendelee kukaa nasi karibu muda wote. 

Contact Us :  0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram   https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook  https://web.facebook.com/rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website  www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

More from this channel