Upanzi wa ndizi waimarishwa Taita Taveta

27 views · Published 21 September 2018 · 1:48 · Indexed 1 October 2026

Channel: KTN Entertainment · 2018 · Entertainment

Watch on YouTube

Serikali imegharamia upanzi wa ndizi katika kaunti ya taita taveta kwa kutia mkataba wa makubaliano kati ya serikali kuu na wizara ya ugatuzi ambapo pia wataunda kampuni kwa shughuli hiyo. kulingana na katibu katika wizara ya ugatuzi 
Charles Sinkuli mpango huo umefadhiliwa na umoja wa mataifa ya uingereza kwa kima cha shilingi milioni 110 kwa mataifa kumi na matano. Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja amesema kaunti ya taita taveta inalazilisha tani 150 za ndizi kila mwaka.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics 

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel