Kwa nini wazazi wana hofu ya chanjo

885 views · Published 7 August 2018 · 10:20 · Indexed 24 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wizara ya afya imesema kuwa tatizo la joto mwilini ambalo limekuwa likishuhudiwa kwa watoto ambao wamepewa chanjo ya polio katika zoezi linaloendelea  imesababishwa na homa ya influenza na wala sio chanjo hiyo ya polio.  Mkuu wa kampeni ya afya katika wizara hiyo  sammy mahugu amesema  chanjo hiyo ni salama na haileti joto mwilini kwa wale wanaopokea. Tunajiunga na lilian mutua ambaye ni afisa wa kampeni za afya katika wizara ya afya.















SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel