Mwanamke atoweka katika mazingira ya kutatanisha katika Kijiji cha Chebior
298 views · Published 2 October 2018 · 2:50 · Indexed 26 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Katika kisa ambacho kimewaacha wakaazi wa Kijiji cha Chebior Kaunti ya Elgeyo Marakwet wakijiuliza maswali mengi, mwanamke mmoja ametoweka katika mazingira ya kutatanisha na hata kukosa kuhudhuria mazishi ya binti yake aliyeuawawa kinyama. Marehemu viterline jemutai ambaye aliuawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa alikuwa mwanafunzi wa kidato cha 3 katika shule ya upili ya chebior. Sasa polisi wameanzisha msako wa kumtafuta mama ya marehemu huku wenyeji wakitafakari mikasa ambayo imeandama familia ya mwanamke huyo. Elvis kosgei na maelezo zaidi. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
2:28
NTSA suspend short term road licenses after the rise in road fatalities being witnessed