Spika wa bunge Justin Muturi aamuru uchunguzi kuhusiana na madai ya wabunge kula hongo

423 views · Published 12 August 2018 · 3:18 · Indexed 28 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Spika wa bunge la taifa Justin Muturi ameamuru uchunguzi ufanywe kuhusiana na madai kuwa baadhi ya wabunge walikula hongo ili kutupilia mbali ripoti ya kamati ya pamoja ya kilimo na ile ya viwanda kuhusu sakata ya sukari humu nchini. Haya yanajiri huku  spika muturi akiwataka wote ambao wametajwa na kudaiwa  kushiriki ulaji wa rushwa watoe taarifa na ushuhuda walio nao kwa kamati kuhusu mamlaka ya bungeni

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel