Soipan Tuya amepata uungwaji mkono wa wabunge wenzake wanawake

215 views · Published 26 September 2018 · 3:34 · Indexed 3 October 2026

Channel: KTN Entertainment · 2018 · Entertainment

Watch on YouTube

Baada ya kushtumiwa na wengi kuhusu wajibu wake wa kupitisha mswada wa sheria ya fedha  ambao umesababisha ongezeko la bei za bidhaa mwaakilishi wa kike kutoka kaunti ya Narok SoipanTuya ambaye alikuwa spika wa muda wakati wa kupitishwa kwa mswada huo katika mazingira ya kutatanisha  sasa amepata  uungwaji mkono  kutoka kwa wabunge wenzake wanawake  katika chama cha Jubilee wabunge hao wakiongozwa na Alice Wahome wamesema kuwa soipan alikuwa tu akitekeleza majukumu aliyopewa na spika na hapaswi kulaumiwa.




SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics 

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel