Nduguye marehemu Maribel Kapolon apita mtihani wa KCPE kwa kupata alama 428

460 views · Published 24 November 2018 · 1:59 · Indexed 6 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Miezi miwili imepita tangu marehemu Maribel Kapolon bintiye hakimu mkazi wa mahakama githongo Caroline Kemei kuzikwa katika eneo la murgusi kaunti ya Uasin Gishu.na kwa kile kinachoonekana kuwa baraka kwa caroline,mwanawe wa kiume Brian lomoin alipata alama 428 kwenye mtihani wa kcpe mwaka huu hivyo kumfanya mamake kupata faraja ya nafsi . 

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel