Chama cha walimu nchini Kenya KNUT chashitisha mgomo

115 views · Published 30 August 2018 · 0:59 · Indexed 25 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Chama cha walimu nchini KNUT kimesitisha mgomo wake kwa sasa ambao ulikuwa ufanyike septemba mosi  ili kutoa nafasi ya kufanya mazungumzo na tume ya kuwaajiri walimu tsc kuhusu sera zilizowekwa na ambazo chama hicho kinadai zinahujumu utendakazi wa walimu. Akizungumza katika kaunti ya nyamira, katibu mkuu wa knut wilson sossion ameapa kuwaongoza  walimu wote katika maandamano kati ya tarehe 30 mwezi septemba hadi tarehe 5 oktoba iwapo mazungumzo kati ya chama hicho na tsc hayatazaa matunda.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel