Al-shabaab wauwawa na wanajeshi wa Kenya katika eneo la Pandanguo

640 views · Published 24 September 2018 · 1:56 · Indexed 1 October 2026

Channel: KTN Entertainment · 2018 · Entertainment

Watch on YouTube

Washukiwa kumi wa kundi la wanamgambo wa alshabaab wameripotiwa kuuwawa na wanajeshi wa Kenya  katika eneo la Pandanguo Kaunti ya Lamu .  Kadhalika wanajeshi wa kenya wamenasa bunduki saba aina ya ak 47 kutoka kwa wanamgambo hao. Taarifa zinasema kuwa wanajeshi watatu wamejeruhiwa katika makabiliano hayo. Wakaazi wa lamu wameelezea kuridhishwa na juhudi zinazoendelea za kupambana na wanamgambo hao.




SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics 

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel