Serikali yapiga marufuku ya kutembelea watoto katika shule za mabweni
1,319 views · Published 8 October 2018 · 2:48 · Indexed 29 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Serikali imepiga marufuku ya kuwatembelea watoto walio kwenye shule za mabweni, kuanzia sasa hadi mitihani ya KCPE na KCSE itakapokamilika. Akitangaza mikakati Iliyowekwa ili kudhibiti udanganyifu kwenye mitihani, waziri wa elimu Dr. Amina Mohamed pia amewaonya wazazi ambao watoto wao watapatikana na simu za rununu kuwa watawajibika wenyewe. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:29
Relationships: Signs that indicate a possibility of a relationship crumble
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
4:12
Story of man said to have been rescued from a troop of monkey
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
2:17
Remember the needy: Church remembers on Xmas day