Suala Nyeti: Muungano wa wachapishaji KPA wajitetea
170 views · Published 18 October 2018 · 13:37 · Indexed 6 October 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Chama cha mashirika ya uchapishaji vitabu kimejitokeza kuzungumzia mjadala ambao umekuwa ukiendelea kwa muda sasa, kuhusu dosari kwenye vitabu vya mtalaa mpya vinavyochapishwa na mashirikia mbalimbali. Mwenyekiti wa chama hicho Lawrence Njagi, amesema kuwa baadhi ya michoro inayosambazwa si ya vitabu vya kenya na kuonya kuwa ipo njama ya kusambaratisha juhudi za kutoa mtaala mpya. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:29
Relationships: Signs that indicate a possibility of a relationship crumble
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
4:44
Major standoff looming between KNUT and TSC
-
4:12
Story of man said to have been rescued from a troop of monkey
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
2:07
Ufanisi wa Utalii: Hoteli katika maeneo mbalimbali yaandikisha ongezeko ya watalii
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN