Wafula Chebukati ametoa changamoto kwa EACC kuwatia mbaroni washukiwa wa usisadi

165 views · Published 15 October 2018 · 3:25 · Indexed 24 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mwenyekiti wa Tume huru ya uchagzui na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati ametoa changamoto kwa tume ya kupambana na ufisadi EACC kuwatia mbaroni  wahusika katika sakata ya ufujaji wa pesa za tume hiyo wakati wa uchaguzi mkuu ulipita. Chebukati ambaye alikuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa zoezi la kuwasajili  wapiga kura wapya katika kaunti ya makueni amesema hatua yake kumtimua afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo ezra chiloba   imetokana na ukaguzi uliobaini kuwa pesa zilivujwa katika uchaguzi. 



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel