KTN Leo - 15th January 2017 - Ubabe wa uongozi uonekana Muranga katika afisi za MUWASCO

123 views · Published 15 January 2018 · 2:49 · Indexed 4 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kizaazaa kimeshuhudiwa katika afisi za kampuni ya maji na maji taka kaunti ya Murang'a MUWASCO na kuwabidi maafisa wa polisi kupiga kambi katika afisi hizo na hata kumfungia waziri wa maji kaunti hiyo paul macharia nje ya afisi. Hali hiyo ilisababisha malumbano makali baina ya polisi na raia waliotaka macharia kuruhusiwa ndani ya afisi. Hussein mohammed anatupa taswira ya mambo yalivyokuwa.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel