Siasa za Kanda: Mauaji ya kiholela katika eneo la Afrika Mashariki (Sehemu ya Pili)
581 views · Published 16 September 2018 · 23:59 · Indexed 29 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Je, usalama katika Kanda la Afrika Mashariki limetiliwa maanani? Siasa za Kanda linaangazia swala hili la usalama baada ya mauaji kuripotiwa katika sehemu kadha wa kadha katika kanda hili. Viongozi katika kaunti ya Mombasa wamelalamikia ongezeko la magenge ya uhalifu mjini Mombasa na kutoa wito wa kufufuliwa kwa mpango wa nyumba kumi. Viongozi hao kutoka kwa kamati ya amani Mombasa wakiongozwa na mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir wamelaani mauaji ya kiholela katika mji wa Mombasa na kuitaka serikali kutofanya mageuzi katika idara ya polisi kwa pupa. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:29
Relationships: Signs that indicate a possibility of a relationship crumble
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
4:12
Story of man said to have been rescued from a troop of monkey
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
2:17
Remember the needy: Church remembers on Xmas day