Transform Kenya: Hali ya afya nchini

238 views · Published 6 September 2018 · 14:14 · Indexed 22 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Afya bora kwa wote ni mojawapo ya nguzo ya ruwaza ya 2030. Katiba ya mwaka wa 2010 ilileta ugatuzi nchini. 

Aidha, shughuli za usimamizi na utoaji wa huduma za afya ilihamishwa kwa serikali za kaunti. 

Hata hivyo, wananchi wamelalama kuwa huduma za afya kwenye kaunti ni za kutamausha. 

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel