Waumini wa kanisa la Messianic waadhimisha 'Krismasi'

1,226 views · Published 30 September 2018 · 0:23 · Indexed 26 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Waumini wa kanisa la Messianic Assembly of Yahweh ambao wanafuata kalenda ya Wayahudi wanasema leo ni tarehe 15 ya mwezi wa saba siku wanayoamini kuwa Yesu alizaliwa.  Zaidi ya waumini mia tano wamekusanyika kusheherekea siku hii kwa kula na kulala kwenye hema ambazo wanasema zinawakilisha hema zilizojengwa na mayahudi wakati wa kuzaliwa Yesu.

More from this channel