Waendeshaji magari ya umma walalamikia nyongeza ya bei ya mafuta
244 views · Published 3 September 2018 · 3:47 · Indexed 22 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Waendeshaji magari pamoja na wasafiri wa magari ya umma kote nchini wanaendelea kulalamikia nyongeza ya bei ya mafuta iliyosababishwa na ongezeko la ushuru wa asilimia kumi na sita wa bidhaa za mafuta. Hii leo baadhi ya waendeshaji magari walifanya maandamano mjini nakuru wakishinikiza serikali kubatilisha uamuzi huo wakisema nyongeza ya bidhaa za mafuta itafanya gharama ya maisha kupanda zaidi. Mwanahabari wetu elphas lagat kutoka nakuru alifuatilia maandamano hayo. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
24:27
Kuza Sanaa Dancers from Mathare North perform
-
0:41
Mauaji ya Polisi: Naibu OCS auwawa kwa risasi
-
2:28
Maandamano Maungu:Wenyeji wateta kuhusu barua waliopewa yakuwataka waondoke