Mkataba wa utendakazi wa madaktari wa Kenya na Cuba

266 views · Published 14 May 2018 · 18:42 · Indexed 20 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Baraza la magavana linatarajiwa kufanya mkataba wa utendakazi na madaktari kutoka Cuba ambao wanatarajiwa kufanya kazi nchini baada ya rais Uhuru Kenyatta kukuabaliana na utawala wa nchi hiyo. Awali madaktari wa Kenya walikuwa wamepinga mpango huo wakisema hauafikiani na desturi za kutoa tiba nchini. Tunaaungana na mwanahabari wetu Sycilia Wakesho ambaye anafuatilia matukio hayo

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel