Takribani mabohari mia tano yanakabiliwa na tishio la kubomolewa
162 views · Published 22 October 2018 · 3:31 · Indexed 27 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Takribani mabohari mia tano yanakabiliwa na tishio la kubomolewa na kuwaacha maelfu bila ajira mbali na kusababisha hasara ya mamilioni ya pesa kwa wamiliki wa mabohari hayo. Ilani iliyotolewa na katibu wa kamati ya pamoja kuhusu majengo yasiyokuwa salama, moses nyakiongora, imeyaorodhesha mabohari na majengo mengine yaliyo karibu na uwanja wa ndege wa jkia, kuwa yalijengwa katika ardhi ya uwanja huo. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
0:47
Kericho Accident:31 passengers escaped death after the bus carrying them collided with a truck
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:54
Kericho Accident: 31 passengers escaped death narrowly after bus collided with a truck