Timu ya Champion iliibuka mabingwa wa mashindano ya mchezo wa Kabaddi

98 views · Published 29 September 2018 · 1:05 · Indexed 3 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Timu ya Champion iliibuka mabingwa wa mashindano ya mchezo wa Kabaddi, Kombe la Director General, kitengo cha circle kabaddi ya kina dada, baada ya kuzoa alama 64 katika mechi zilizochezwa kwenye uwanja wa NYS jijini Nairobi. Katika upande wa wanaume, Black scorpion walimaliza kidedea na alama 29. Mashindano hayo yanatumika kama maandalizi ya  mashindano ya dunia yatakayoandaliwa nchinin australia.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel