Uhalifu Machakos:Jamaa mmoja anakabiliwa na tuhuma za uwizi wa Bodaboda

530 views · Published 25 May 2018 · 1:37 · Indexed 22 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Biashara za uchukuzi wa bodaboda zilizsimama kwa muda 
 katika mji wa Machakos kufuatia mkutano wa dharura na 
  mkuu wa kituo cha polisi cha Machakos na mwenyekiti wao 
 allan musembi kuhusu matukio ya wizi wa pikipiki katika eneo 
 hilo wakizungumza na wanahabari wakati 
 walipokuwa wakijadiliana  jinsi ya  kukabiliana na wizi huo , 
 mwenyekiti wa muungano wa waendeshaji bodaboda 
  wamewataka waendeshaji bodaboda  kuhakikisha  kwamba 
 wanajuana ili kuwa rahisi kuwanasa wezi .Waendeshaji 
 pikipiki wanadai kuwa hali hiyo imekuwa ikiendelea kwa muda 
 sasa 





SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel