Mahakama kuu yadinda kusimamisha utekelezwaji wa ushuru wa VAT | KTN Leo

109 views · Published 4 September 2018 · 0:35 · Indexed 20 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kutoka mahakamani ni kwamba kuwa mahakama kuu imekataa kusimamisha matumizi ya ushuru wa asilimia 16 kwa bidhaa za petroli. Mahakama hio imetoa uamuzi alasiri hii, na kusema kwamba shughuli ya bunge haijakamilika hadi rais kenyatta atie sahihi au kukataa kuitia saini mswada huo.  Kutumika kwa ushuru huo kumepingwa vikali na wakenya mbalimbali,haswa kwa kuwa inapandisha gharama ya maisha, kando na kumlimbikizia mkenya wa kawaida ushuru huo. 



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel