Bilionea kijana wa Tanzania Mohammed Dewji anatimiza siku tano tangu alipotekwa nyara
2,638 views · Published 15 October 2018 · 2:27 · Indexed 4 October 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Bilionea kijana wa Tanzania Mohammed dewji anatimiza siku tano tangu alipotekwa nyara na watu wasiojulikana alhamis ya wiki iliyopita jijini dar es salaam nchini tanzania na leo hii familia ya bilionea huyo imetangaza zawadi ya kitita cha fedha cha shilingi za kitanzania bilioni moja sawa na milioni 44 thamani ya shilingi ya kenya kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa mfanyabiashara huyo maarufu, rajabu hasan anaarifu zaidi kutoka jijini dar es salaam nchini tanzania. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:29
Relationships: Signs that indicate a possibility of a relationship crumble
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
4:12
Story of man said to have been rescued from a troop of monkey
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
2:07
Ufanisi wa Utalii: Hoteli katika maeneo mbalimbali yaandikisha ongezeko ya watalii
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN
-
3:40
Sherehe za krismasi na bendi ya One Accord: Jukwaa la KTN