Malipo ya Kadi Kukataliwa - AdWords Swahili

1,501 views · Published 1 June 2015 · 1:27 · Indexed 22 September 2026

Channel: Google Africa · 2015 · Education

Watch on YouTube

Video hii inazungumza kuhusu kadi lako kukataliwa katika mfumo wa Google Adwords. Ukipenda video zingine kama hii, au usaidizi wowote kuhusu kadi kukataliwa, tafadhali tuambie katika pande wa gumzo hapa chini na tutafurahi kukusaidia.


Agenda:
[00:05] Kadi lako limekataliwa?
[00:15] Sabau za kadi lako kukataliwa
[00:40] Kuweka kadi mpya katika mfumo wa Adwords

---------------
[00:05] Unatumia malipo ya otomatiki na kadi lako limekataliwa?
Kama kadi lako limekataliwa, inaweza kuwa kwa sababu:

[00:15] Hakuna pesa ya kutosha katika kadi lako. Kama pesa haitoshi, kadi itakataliwa.
Benki yako halikubalishi malipo za kutoka kimataifa, hivyo basi kufanya kadi ikataliwe.
Saa zingine, malipo unayofanya ni zaidi ya kikomo cha malipo katika kadi yako. Hivyo basi kufanya kadi ikataliwe

[00:40] Pia unaweza jaribu kuweka kadi mpya kwenye akaunti yako ya Adwords na ikataliwe. Hiyo ni kwa sababu, ukiweka kadi, mfumo wa Adwords hujaribu kutoa malipo chini ya dola moja ili kuangalia kama kweli kadi inafanya kazi.            
Benki nyingi ziko na mfumo wa kuangalia wizi au udanganyifu katika utumiaji wa kadi, na kwa hivyo hukataa malipo ndogo ndogo. Hivyo basi kufanya kadi yako kukataliwa.

[01:06] Kumbuka ya kwamba, Google haikatai kuchukua malipo yoyote. Kwa hivyo, kadi laki likikataliwa, kwanza ongea na benki yako au kampuni ya kadi yako ili waangalie nini mbaya na kadi yako.

Ukipenda usaidizi zaidi, unaweza kuzungumza nasi kutumia simu, barua pepe au katika gumzo. Asante kwa kuniskiiza.
---------------


Any questions? Call us! 
Cameroon +237 9020 0288 (Mon-Fri 9am - 4pm)
Kenya +254202215370 (Mon-Fri 11am - 6pm)
Mauritius 802 033 0012 (Mon-Fri 12pm - 7pm)
Nigeria +23412778440 (Mon-Fri 9am - 4pm)
Senegal 221 818001925 (Mon-Fri 8am - 3pm)
Uganda 256 794230105 (Mon-Fri 11am - 6pm)
South Africa 0800 000 777 (Mon-Fri 10am - 5pm)

or visit our Help Center at http://goo.gl/5zW0lE

Sign up for Google AdWords Online School at https://services.google.com/fb/forms/awschool/

More from this channel