Gavana wa Busia Sospeter Ojaamong asema madai ya ufisadi dhidi yake ni ya uongo

2,000 views · Published 3 July 2018 · 24:22 · Indexed 24 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Gavana wa kaunti ya Busia Sospeter Ojaamong amesema kwamba  madai  ya ufisadi dhidi yake ni ya uongo .Ojamoong anasema  kwamba  hajapokea ilani yoyote ya  kushtakiwa  kwake   kwa madai ya ufisadi katika kaunti hiyo . Mkurugenzi wa mashtaka ya umma  Noordin Hajj.  aliidhinisha kufunguliwa mashtaka dhidi ya gavana   huyo  kwa madai ya matumizi mabaya ya mamlaka. Inadaiwa kuwa Ojaamong alikiuka kanuni za utoaji zabuni  na hivyo kuisababishia kaunti ya Busia kupoteza mamilioni ya pesa. 

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel