Masomo ya Kiufundi:Vijani wa faidika katika mradi kwa kupewa nafasi katika Taasisi za kiufundi

299 views · Published 25 May 2018 · 4:06 · Indexed 20 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Taasisi ya Ufundi ya Kadenge katika kaunti ya Migori   
 kitaanza shughuli  za mafunzo kwa wanafunzi baada ya 
 kupokea vifa vya thamani ya shilingi milioni mia moja  kutoka 
 kwa serikali  ya uchinataasisi  hiyo ni miongoni 
 mwa taasisi 134  kote nchini zitazotoa mafunzo ya kiufundi 
 kwa vijana .  wakizungumza wakati wa kupokea vifaa  hivyo  , 
 katibu katika wizara ya ugatuzi Nelson Marwa amesema 
 kwamba serikali ya kenya ikishirikiana na serikali ya uchina 
 inamipango ya  kujenga na kutoa vifaa kwa taasisi hizo 




  SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel