Timu ya mchezo wa magongo ya kinadada ya Telkom wapania taji la klabu bingwa Afrika

47 views · Published 17 January 2018 · 1:06 · Indexed 6 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Baada ya kushinda taji la ligi kuu ya mpira wa magongo nchini kwa mara ya 20, timu ya kina dada ya Telkom inapania kushamiri katika mashindano ya bara Afrika yatakayoandaliwa nchini Ghana kuanzia tarehe 20 mwezi huu. Hata hivyo, timu hiyo inatarajia upinzani mkali katika dimba hilo.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel