Wakenya walalamikia gharama ya maisha nchini
262 views · Published 27 August 2018 · 2:10 · Indexed 28 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Wakenya wengi wamekuwa wakiumia kimya kimya kutokana na ugumu wa maisha lakini sasa inaonekana kimya hicho kinakaribia kufikia kikomo. Katika eneo la kajiado, wakazi sasa wamejitokeza hadharani kulalamikia gharama ya maisha huku bei ya mafuta ya petroli inayosababisha ugumu huo ikitarajiwa kuongezeka. Wakazi hao sasa wanaitaka serikali kuingilia kati ili kudhibiti bei ya bidhaa hiyo muhimu. Mafuta ya petroli kwa sasa yanauzwa kwa zaidi ya shilingi mia moja na kumi kwa lita. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
0:47
Kericho Accident:31 passengers escaped death after the bus carrying them collided with a truck
-
2:30
Benki za Vijijini:Mradi umewafaidi wengi huko Taita/Taveta
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni