Soni_waterfalls_part_1_HD
49 views · Published 26 June 2018 · 9:33 · Indexed 25 September 2026
Channel: Yona Godwin · 2018 · Travel & Events
English Hello! Welcome to my channel! This video takes you to the exploration of Soni waterfalls found in Tanga, Lushoto at Soni in Tanzania. I know some people had never been in this area so let's go and explore together and see how beautiful this place is. Enjoy your watching. 😊 Kiswahili Habari! Karibu kwenye chaneli yangu! Video hii itakupeleka ku kujionea maporomoko ya maji ya Soni yapatikanayo Tanga, Lushoto huko Soni ndani ya Tanzania. Najua kuna watu hawajawahi fika eneo hili, kwa hiyo ningependa tujionee pamoja ni jinsi gani sehemu hii ilivyo nzuri. Furahia kujionea kwako. 😊