Wasafiri kote nchini watatizika magari mengi ya umma yaondolewa barabarani

1,606 views · Published 12 November 2018 · 17:38 · Indexed 28 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Takriban watu 2000 wametiwa nguvuni kwenye msako ambao umefanyika hii leo katika harakati za kuleta nidhamu katika sekta ya uchukuzi nchini. Waziri wa usalama daktari Fred Matiangi, amesema serikali haitalegeza kamba  katika kuhakikisha sheria na kanuni za barabarani zinazingatiwa na kuheshimiwa. Ameonya kuwa vyama vya ushirika ambavyo vimekataa kutoa huduma kwa wasafiri huenda vikapoteza leseni zao. Isitoshe amesema hawataruhusu vitisho kutoka kwa yeyote. Wakati uo huo, inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet amesema  polisi hawatasaza yeyote atakayekiuka sheria.Takriban watu 2000 wametiwa nguvuni kwenye msako ambao umefanyika hii leo katika harakati za kuleta nidhamu katika sekta ya uchukuzi nchini. Waziri wa usalama daktari Fred Matiangi, amesema serikali haitalegeza kamba  katika kuhakikisha sheria na kanuni za barabarani zinazingatiwa na kuheshimiwa. Ameonya kuwa vyama vya ushirika ambavyo vimekataa kutoa huduma kwa wasafiri huenda vikapoteza leseni zao. Isitoshe amesema hawataruhusu vitisho kutoka kwa yeyote. Wakati uo huo, inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet amesema  polisi hawatasaza yeyote atakayekiuka sheria.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel