Seneta Moses Kajwang kuandika taarifa kuhusiana na madai ya ufisadi

89 views · Published 28 August 2018 · 0:55 · Indexed 23 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Spika wa Seneti Kenneth Lusaka amemtaka Seneta wa Homabay Moses Kajwang kuandika taarifa kuhusiana na madai ya ufisadi katika kamati ya uhasibu iliyokuwa ikichunguza sakata ya shamba la ruaraka. Spika Lusaka aliyasema haya baada ya kikao cha kamati maalum ya nguvu za seneti inayochunguza sakata hiyo.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel