'Wacheni kuzungumzia yaliyopita' Murkomen awaambia viongozi wa NASA
1,494 views · Published 19 August 2018 · 1:40 · Indexed 26 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Kiongozi wa wengi katika bunge la Senate Kipchumba Murkomen sasa amewashutumu viongozi wa upinzani kwa kujaribu kuhujumu ushirikiano uliopo baina ya rais Uhuru Kenyatta na kinara wao Raila Odinga. Murkomen amesema kuwa ni jambo la kushangaza kwamba licha ya rais Uhuru Kenyatta kujiepusha na mjadala kuhusu yaliyopita viongozi hao wameendelea kumkosoa jambo ambalo amesema linaenda kinyume na maafikiano ya kuleta maridhiano nchini SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
2:28
NTSA suspend short term road licenses after the rise in road fatalities being witnessed