Waalimu wa chekechea walalamikia kubadilishwa kwa mtaala wa elimu wa 2-6-6-3

77 views · Published 16 December 2018 · 2:22 · Indexed 9 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Hatua ya wizara ya elimu hapo jana kuahirisha mtaala wa elimu ya  2 6 6 3 kwa mwaka mmoja tena imeendelea kupokea hisia mseto kutoka kwa washikadau mbali mbali huku wengi wao wakilalamikia kutohusishwa kwenye maamuzi yanayohusu elimu nchini. 

Shirikisho la kutetea maslahi ya walimu wa shule za chekechea  early childhood education  limesema hatua hiyo imewaacha kwenye njia panda kuhusiana na hatma ya watoto wanaofaa kuanza shule mwaka ujao.


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel