Mwili wa mwanamme umepatikana katika barabara ya Meru-Isiolo

244 views · Published 20 October 2018 · 1:24 · Indexed 3 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mwili wa mwanamme mmoja mwenye umri wa makamu umepatikana ukiwa uchi kando mwa barabara ya Meru Isiolo.kwa mujibu wa mashahidi haikuwa imedhibitika kiini cha maafa hayo manake mwili huo haukuonyesha dalili za majeraha yoyote. Hata hivyo baadaye ilifichuka kwamba marehemu ni mmoja wa wachuuzi wa vyuma vikuukuu mjini isiolo huku makundi ya wanaorandaranda mitaani wakimtambua kama rafiki yao.mwili huo ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya rufaa ya isiolo.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel