Bustani ya Uhuru Park yafungwa

2,929 views · Published 24 January 2018 · 1:58 · Indexed 20 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Bustani ya Uhuru imefungwa kwa muda hadi itakapotangazwa tena. Kaimu katibu wa kaunti ya  Nairobi Leboo ole Morintat  ametoa tangazo hilo kwenye  magazeti ya humu nchini akisema kwamba  hatua hiyo inalenga  kuimarisha  mazingira hayo kwa wageni wanaotembelea bustani hiyo.  Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria ametoa maoni yake kuhusiana na hatua hiyo.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel