MAOMBI MAALUM.
4,898 views · Published 20 April 2017 · 4:32 · Indexed 27 September 2026
Channel: MBCI TV OFFICIAL · 2017 · People & Blogs
Mtume Emmanuel Kure kutoka Nigeria yuko nchini mjini Nakuru kwa ajili ya maombi maalum. Maombi haya ambayo yameandaliwa MBCI, kanisa la Kingdom Seekers linaongozwa naye Apostle John Kimani William pamoja na makanisa mengine. Mkutano huo unatarajiwa kuanza Alhamisi hadi Jumapili katika uwanja wa Afuraha. MBCI TV is the only digital Television Station operating from Nakuru and is on digital platform in free-to-air Swahili channel that is accessed through: All universal set top boxes in Kenya, Digital TVs, GO TV and Startimes. MBCI TV is a family TV station offering transformative and entertaining content that appeals to various age demographics. Follow us on twitter @Mbcitv Like our facebook page:MBCI TV Follow us on instagram: mbci tv Visit our website:www.mbcimedia.com