Washukiwa wa wizi wa mafuta wakamatwa Nairobi

570 views · Published 22 July 2018 · 0:59 · Indexed 20 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Washukiwa 99 wa wizi wa mafuta wamekamatwa katike eneo la barabara ya lunga lunga hapa jijini nairobi  katika operesheni ambayo imeendeshwa na maafisa wa polisi kwa ushirikiano na shirika la uhifadhi mazingira nchini nema pamoja na  tume ya kudhibiti kawi E.R.C.  Kadhalika  maelfu ya lita za mafuta yalinaswa kisha matanki ya mafuta hayo kuharibiwa. Inaarifiwa kuwa washukiwa hao wanaiba mafuta hayo na kisha kuyachanganya na bidhaa zingine kabla ya kuwauzia wateja

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel