Hatua ya Gavana wa Nairobi,Mike Sonko, kumpendekeza mwanasheria Miguna kuwa naibu wake,imepingwa
680 views · Published 17 May 2018 · 2:59 · Indexed 23 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Hatua ya gavana wa nairobi,Mike Sonko, kumpendekeza mwanasheria miguna miguna kuwa naibu wake, imepingwa vikali na uongozi wa bunge la kaunti ya nairobi. Spika beatrice elachi na kiongozi wa wengi kwenye bunge hilo, abdi guyo, wameapa kutomwidhinisha miguna miguna kuwa naibu wa gavana, kutokana na kile wanachokitaja kuwa gavana sonko kukiuka utarataibu na kanuni za uteuzi. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
23:28
Economy at a Glance:Kenya's economy remains resilient,economy poised to grow by 6%