Mbunge Rigathi Gachagua ameanzisha mchakato wa kudhibiti idadi ya raia wa kigeni

479 views · Published 22 October 2018 · 3:33 · Indexed 9 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mbunge wa Mathira Rigathi Gachagua  ameanzisha mchakato wa kudhibiti idadi ya raia wa kigeni wanaofanya  biashara au kazi ambazo wakenya wana uwezo wa kuzifanya humu nchini.  Gachagua ametangaza kuwa atawasilisha mswada bungeni  kupiga marufuku raia wa kigeni kupewa zabuni inayozidi shilingi bilioni moja na zabuni hizo kutengewa makampuni yanayomilikiwa na wakenya. Amesema kampuni za wachina zimewanyima wakenya fursa ya kibiashara. 



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel