Wafungwa kituoni Eldoret watumia kinyesi kuzuia kupelekwa mahakamani

1,253 views · Published 22 October 2018 · 2:17 · Indexed 26 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kulikua na kioja katika kituo cha polisi mjini Eldoret pale mahabusu waliokuwa katika seli ya polisi walipojipaka kinyesi na hata kuchafua sehemu ya mapokezi kama njia ya kukwepa kufikishwa kortini. Na kama anavyotuarifu mwandishi wetu Gabriel Kudaka, shughuli zilitatizika kwa muda kutokana na uvundo uliokuwa umehinikiza kila sehemu.

More from this channel