Sherehe ya kumuaga kifaru mweupe aliyekufa yafanyika Nanyuki
519 views · Published 31 March 2018 · 2:06 · Indexed 20 September 2026
Channel: KTN Entertainment · 2018 · News & Politics
Hivi karibuni, wawindaji haramu wa wanyama pori huenda wakafungwa maisha endapo azimio la waziri wa utalii na wanyama pori Najib Balala litakubaliwa na kutekelezwa kikamilifu .Akizungumza kwenye sherehe ya kumkumbuka faru mweupe aliyekua amesalia, ambaye alifariki mapema mwezi huu katika hifadhi ya ol pejeta huko nanyuki, waziri balala alisema kwamba uhalifu wa wanyama pori umeanza kupanda na ni sharti hatua kabambe zichukuliwe dhidi ya wawindaji, haswa wanaolenga wanyama walio kwenye hatari ya kuangamia. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:02
Kilio Cha Ardhi:Baadhi ya wakazi wa Mombasa wanateta,wanadai kuwa walilaghaiwa na serikali
-
0:51
Wiper leader Kalonzo Musyoka wants NASA registered as a political party
-
1:45
Kapenguria heroes na Plateau queens washinda kombe la chapa dimba
-
5:11
PIC set to inspect car park facilities
-
3:14
Report released shows that 90 percent of organized criminal gangs are financed by politicians
-
2:56
Easter Celebrations: Christian faithful from across the country are today marking Good Friday
-
5:38
President Uhuru demands accountability from the cabinet
-
2:03
Wizi wa kuni umesababisha kijana mmoja kumuua mke wa nduguye