Mauaji Kesses: Mwanamke amuua mwenzake
1,276 views · Published 5 October 2018 · 1:13 · Indexed 23 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Polisi mjini eldoret wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuuawa kwa kudungwa kisu na mwanamke mwenzake katika mtaa wa chebarus eneo la kesses. Haijafahamika ni kwa nini mwanamke huyo alifanya kitendo hicho. Edgar birgen ambaye ameishi kwenye ndoa na mwendazake monicah birgen kwa zaidi ya miaka 18, anasema sasa amesalia na mzigo wa kuwalea watoto bila mama yao. sasa ombi lake ni kwa vyombo vya usalama kutegua kitendawili cha mauaji ya mkewe na kumkabili mhusika kisheria. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
23:28
Economy at a Glance:Kenya's economy remains resilient,economy poised to grow by 6%