Kenya iko tayari kuchuana na Ghana (Sehemu ya Pili) | Zilizala Viwanjani

359 views · Published 5 September 2018 · 6:29 · Indexed 23 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Timu ya taifa Harambee Stars itakosa huduma za nahodha Victor Wanyama kwenye mechi ya kufuzu dimba la taifa bingwa barani afrika dhidi ya Ghana itakayochezwa siku ya Jumamosi ugani Kasarani. 

Wanyama ni miongoni mwa wachezaji tajika ambao hawakujumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 kilichotajwa leo na mkufunzi Sebastien Migne. Moses Wakhisi na taarifa hiyo kwa kina.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel